Ni Kipanya tena na korosho

Ni Kipanya tena na korosho

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Waungwana nimekutana na hii picha iliyochorwa na msanii nguri Kipanya ila nimeshindwa kuelewa maana yake.
Tafadhali naomba mwenye uelewa atufafanulie anamaanaisha nini haswaa
IMG_20190511_202708.jpeg
 
Hadi mwez wa tano huu msimu mpya koro show hazijauzwa?.Hii imeshakula kwetu
 
Pole sana naona umepotea jukwaa maana hili ni jukwaa la siasa ukitaka la kiswahili jaribu tena baadae.
Mzareeendo.
Uandishi wa kiswahili sanifu hautegemei jukwaa ni popote pale
 
Hahha Nchi inaingizwa choo cha kike na kundi la wahuni wakeny!! TISS wapo busy kuwatafuta raia wema au hawajui majukumu yao mpk koroshow zinakuwa mzigo kwa ..
 
Matumizi ya L na R imekua ni janga la kitaifa sasa...
Hili sio tatizo dogo katika Rugha yetu hii nzuLi; na sio Lahisi kuRiRekebisha.

Je, kuna mbinu zozote zinazofundishwa daLasani kuRiepuka hRi tatizo?
 
Hili sio tatizo dogo katika Rugha yetu hii nzuLi; na sio Lahisi kuRiRekebisha.

Je, kuna mbinu zozote zinazofundishwa daLasani kuRiepuka hRi tatizo?
Hahahahahaha...fwalaaa kweli wewe
 
Umeonaeee?
Mtu akikwambia una roho ya korosho huyo ni adui yako
Sasa ndio nimejua nini maana ya kuwa na roho ya korosho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umemuona jamaa anavuja jasho kishenzi
Hahha Nchi inaingizwa choo cha kike na kundi la wahuni wakeny!! TISS wapo busy kuwatafuta raia wema au hawajui majukumu yao mpk koroshow zinakuwa mzigo kwa ..
 
Back
Top Bottom