Ni kinywaji gani unanikipenda sana?

Ni kinywaji gani unanikipenda sana?

hot-tea.gif
 
Mimi serengeti lite ndoh unyama wangu nikiona hivi mate inadondoka.hata saiv najipigie tu wadau karibuni.
Ugoro unauloweka na karafuu kwenye kopo wee acha tuu baada ya muda unakunywa kama maji
 
Mimi serengeti lite ndoh unyama wangu nikiona hivi mate inadondoka.hata saiv najipigie tu wadau karibuni.
Hiyo Serengeti lite ni kinywaji cha marimbukeni ..kama unakunywa bia basi kunywa bia kweli siyo huo ungese wa LITE ni kuchezea pesa tu
 
Back
Top Bottom