Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,126
- 9,593
Vijana wa KMKM wakati wanawamiminia risasi watanganyika walidhani maafa hayatowakuta. Sasa hivi Zanzibar wanalia kilio Cha kusaga meno, hakuna watalii kabisa.
Hotels, fukwe ziko empty kabisa, mpaka Leo vijana wamejirekodi wanalalamika kuwa Hali ni mbaya.
Zanzibar this is just the beginning,huwezi kuua, teka watu,lawiti watu, na rekodi watu video za uchi afu watalii waje kwenye hiyo nchii.
Na baada ya D9 Kuna J12 so jipange kula nyasi.
Mto wa Mbu
Manhattan-USA