Ni Kikwete na Si Magufuli

Ni Kikwete na Si Magufuli

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
01.JPG
 
Huyu jamaa anakiherehere sana. Hyo inaonyesha dhahir kuwa kikwete hakutaka kuachia urais ila kwakuwa Tanzania si uganda wala rwanda ndio maana ameachia. Dalili moja wapo ya kuwa kikwete alitaman kuendelea kutawala ni.
. Kutokuachia uenyekiti wa ccm,
. Kwenda ikulu mara kwa mara utadhani ndio kwao,
. Mambo ambayo ilibidi yafanywe na magufuli kuyafanya yeye,
. Kukimbilia safar za nje wakat kuna watu wanaoweza kuzifanya kama vice przidaa, wizir mkuu,n.k

kikwete hebu muachen magufuli achen kujifanya kimbelembele wakat ww nchi ilikushinda ulileoa majizi .
 
wewe ni GT kweli umechambua yaliyofichika humo
 
Hapo wengi hamjaelewa !!

Lakini kizuri JK kaweza kuwachekesha wageni...!!

JPM yuko bizee na kuchapa kazi.. "hapa kazi tu"
 
Huyu jamaa anakiherehere sana. Hyo inaonyesha dhahir kuwa kikwete hakutaka kuachia urais ila kwakuwa Tanzania si uganda wala rwanda ndio maana ameachia. Dalili moja wapo ya kuwa kikwete alitaman kuendelea kutawala ni.
. Kutokuachia uenyekiti wa ccm,
. Kwenda ikulu mara kwa mara utadhani ndio kwao,
. Mambo ambayo ilibidi yafanywe na magufuli kuyafanya yeye,
. Kukimbilia safar za nje wakat kuna watu wanaoweza kuzifanya kama vice przidaa, wizir mkuu,n.k

kikwete hebu muachen magufuli achen kujifanya kimbelembele wakat ww nchi ilikushinda ulileoa majizi .
Hata kama una chuki na mtu, kuna wakati inabidi utumie akili unapoandika kwenye jukwaa. Umejaza utoto, non sense, sasa ni wakati wa ku discuss issues. Huyo zama zake zilishaisha. Unaleta mambo ya kike humu.
 
Mkuu nimesikia Leo jpm alikuwa anakutana na samatta lip limejili huko
 
Hata kama una chuki na mtu, kuna wakati inabidi utumie akili unapoandika kwenye jukwaa. Umejaza utoto, non sense, sasa ni wakati wa ku discuss issues. Huyo zama zake zilishaisha. Unaleta mambo ya kike humu.
ww mssenge ningekuwa karibu na ww ningekufanya ningekuoa live. Acha kuongea taarabu kama huyo jamaa anayeshikana mikono na samata. Punga ww
 
Tatizo ni la Magufuli

Hakutaka hili la kumuita Samata ikulu

Kikwete anaziba tu mashimo...kutokana na mazoea tu
 
Kikwete anapenda attention.Akienda Msoga watu watashangaa.
Kikwete haendi Msoga.

Ndiyo kwanza anajenga hekalu jingine Ununio, anasema Msoga mbali na mjini, atapitwa.

Hata lile hekalu lake la Ursino Estate Morocco pale kaona halimtoshi.

Na pesa atalipiwa na serikali.
 
Last edited:
nilijua kikwete amechoka kazi na amestaafu. nahisi bado anapenda kuonekana, ila sina uhakika asilimia ngapi ya watz wanapenda kuendelea kumuona jamaaa kwenye public. anatonesha vidonda vingi sana. katika utawala wa huyu jamaa utawala wake umenifanya niumie moyo kwenye issue fulani hivi, na maisha yangu yote sitakuja kumsahau. ameutesa sana moyo wangu.
 
Back
Top Bottom