Hilo dude linaitwa SHISHA ndani unaweza kuweka bangi, sigara. Tobacco mkavuta kwa kushare. Madhara yake ni magonjwa ya kuambukiza kwani mnatumia pipe 1 watu wote na kulishana mate ambapo ni hatari kwa mambukizi ya magonjwa mbalimbali. Nenda kwenye mahotel ya kifahari utayaona mengi tu. Yametoka kwa wazungu.