Ni kiko kipya?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,770
2,544
Kuna mtungi ambao huwa naona jamaa wanatumia pipe kufyonza moshi. Najiuliza huu mtungi unaitwaje na faida na hasara zake ni zipi
 
Hilo dude linaitwa SHISHA ndani unaweza kuweka bangi, sigara. Tobacco mkavuta kwa kushare. Madhara yake ni magonjwa ya kuambukiza kwani mnatumia pipe 1 watu wote na kulishana mate ambapo ni hatari kwa mambukizi ya magonjwa mbalimbali. Nenda kwenye mahotel ya kifahari utayaona mengi tu. Yametoka kwa wazungu.
 
kweli ni khatar tupu. Naona yanaanza kuingia bongo kama jukebox
 
Wabongo wana magonjwa mpaka kero kwa hiyo lile dude Limekuja kutuua kwa hela zetu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom