Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,104
- 3,068
Kuna mtungi ambao huwa naona jamaa wanatumia pipe kufyonza moshi. Najiuliza huu mtungi unaitwaje na faida na hasara zake ni zipi
Hilo dude linaitwa SHISHA ndani unaweza kuweka bangi, sigara. Tobacco mkavuta kwa kushare. Madhara yake ni magonjwa ya kuambukiza kwani mnatumia pipe 1 watu wote na kulishana mate ambapo ni hatari kwa mambukizi ya magonjwa mbalimbali. Nenda kwenye mahotel ya kifahari utayaona mengi tu. Yametoka kwa wazungu.