Hapo ni Mungu tu2008 nikiwa nimejitungua speed 100 nikiwa na Benz mali jina kapunil nikitokea busisi nikiwa na kreti tupu za bia wakati nateremka pale usagara tyre za mbele zikaitika gari ikapoteza mwelekeo nikaufuta mtaro nikalimwaga huko sikumbuki kilichoendelea tulijikuta wote wawili mimi na tingo wangu tuko nje gari haitamaniki cabin imeungana na body chakari chaka na hakuna mwenye kovu