RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,385
- 139,186
Hata kwa macho hilo ambalo watu wametoka na majeraha kidogo ndio limeharibika sana.
Najiuliza ni mipango ya Mungu au ni jinsi magari hayo yalivyotengenezwa kulinda usalama wa watumiaji?
Kuna ajali ukiambiwa watu wametoka salama unashangaa.Namna gari ilivyotengenezwa (uimara wa bodi) unaweza kuchangia sehemu kubwa Sana kuwalinda watumiaji dhidi ya madhara ya ajali.
Lakini miujiza ya Mungu nayo ipo katika matukio mbali mbali.
ya juu ni ajali ya shinyanga jana akiekufa ni ahmed ally ameriView attachment 738126 View attachment 738127 Picha ya juu ajali hio imeua dereva, picha ya chini dereva na abiria wametoka salama na majeraha hapa na pale.
Hata kwa macho hilo ambalo watu wametoka na majeraha kidogo ndio limeharibika sana.
Najiuliza ni mipango ya Mungu au ni jinsi magari hayo yalivyotengenezwa kulinda usalama wa watumiaji?
plus namna abiria na dereva walivyo jikinga/tahadhali wakati wa safari. mfano kufunga mikanda,consciousness wakati wa ajili.watu wengine huwa hujaribu kuruka wakati bado hawajui gari itaishia wapi.....kulala fofofo yote haya yanaweza pelekea kupoteza maisha. lakini siku zote gari iliyopata ajali na ikapondeka sana mara nyinyi watu hupona na iliyotoka vizuri watu huwa wameumia na kufariki sanaNamna gari ilivyotengenezwa (uimara wa bodi) unaweza kuchangia sehemu kubwa Sana kuwalinda watumiaji dhidi ya madhara ya ajali.
Lakini miujiza ya Mungu nayo ipo katika matukio mbali mbali.
Very true....plus namna abiria na dereva walivyo jikinga/tahadhali wakati wa safari. mfano kufunga mikanda,consciousness wakati wa ajili.watu wengine huwa hujaribu kuruka wakati bado hawajui gari itaishia wapi.....kulala fofofo yote haya yanaweza pelekea kupoteza maisha. lakini siku zote gari iliyopata ajali na ikapondeka sana mara nyinyi watu hupona na iliyotoka vizuri watu huwa wameumia na kufariki sana
Nikweli kabisa Mkuu!plus namna abiria na dereva walivyo jikinga/tahadhali wakati wa safari. mfano kufunga mikanda,consciousness wakati wa ajili.watu wengine huwa hujaribu kuruka wakati bado hawajui gari itaishia wapi.....kulala fofofo yote haya yanaweza pelekea kupoteza maisha. lakini siku zote gari iliyopata ajali na ikapondeka sana mara nyinyi watu hupona na iliyotoka vizuri watu huwa wameumia na kufariki sana
Wengine wanakufa kwa mstuko..Namna gari ilivyotengenezwa (uimara wa bodi) unaweza kuchangia sehemu kubwa Sana kuwalinda watumiaji dhidi ya madhara ya ajali.
Lakini miujiza ya Mungu nayo ipo katika matukio mbali mbali.
na wengine hufa kabla ya ajali......mimi naamini ajali ya Lucky Vicent dereva alikufa kabla ya ajaliWengine wanakufa kwa mstuko..
Mshtuko wa moyo ni m'baya sana!! Nilikuwa naendesha toyota hilux new model 2016 2kd manual nilikuwa rough road kwa speed kidogo halafu usiku,hyo barabara ilikuwa imemwagwa vifusi siku moja kabla tairi zikateleza gari ikakosa muelekeo ikawa kama vile inadrift nikajitahidi lisitoke nje ya barabara mpaka nilisimama bila kukanyaga break! Lakini wakati yote hayo yanatokea mwenzangu akawa anataja jina la yesu huku amepanic me ndo kwanza wala nipo normal ila ningepanic ningeweza kulipindua gari na tukawa saivi tunaweka matanga kabisa!
Niko vizuri ndo maana hamjaweka[emoji23] [emoji23]Usiseme tunaweka.. sema wangeweka !!!
View attachment 738126 View attachment 738127 Picha ya juu ajali hio imeua dereva, picha ya chini dereva na abiria wametoka salama na majeraha hapa na pale.
Hata kwa macho hilo ambalo watu wametoka na majeraha kidogo ndio limeharibika sana.
Najiuliza ni mipango ya Mungu au ni jinsi magari hayo yalivyotengenezwa kulinda usalama wa watumiaji?