kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 16,255
- 16,185
Nilimuona Mh. Polepole alivyokuwa anakosa cha kusema kwenye kipindi cha kipima joto ITV. Kuwa CCM lazima ujifanye kama punguani, hasa ukizingatia kuwa wizi na ufisadi wote nchini ulifanyika wakati CCM ikiwa madarakani. Umaskini na huduma mbovu kwa wananchi vimetokea wakati CCM iko madarakani.