[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ulizaliwa mzima ulemavu unautaka wa nn?
Hapo bado sijaelewa kwani anafanya nini?
Hospitali dokta akimuuliza nini chanzoImagine unakivaa siku ya harusi, kanisani mchungaji ana mahubiri dakika 45 na wewe umesimama. Unazimia ukistuka uko Mwananyamala hospitali.
Tushapoaama wanawake wanajitesa jamani - basi wahurumieni. hata viatu vyao ni mateso, wakianza kujiremba ni mateso - poleni.