Ni kasheshe, ni balaa, ni kazeze ni ujinga

Hivi kwa nini vitu vya serikali ya Tz huwa vya hovyohovyo?Tbc tv na radio hovyoo,timu ya mpira ya serikali iitwayo taifa stars nayo hovyoo kabisaa na hili gazeti nalo.pumbavu,yani huyu chief editor ni hovyo kabisa au katuona sisi mabashite?eti alitaka kumaanisha ndama mutoto ya ng'ombe,mnatuchoresha bana ndo maana wengine jana ikulu wakatoa press release tofauti na walichoongea wazungu wa watu.
View attachment 524621
Elimu elimu elimu,
 
Kwa maoni yangu mwandishi hajakose tunakosea wasomaji kwa kujifanya wajuaji Sana, huyu kaandika kifasihi na kuvuta tension ya wasomaji, hadi hapo ameshafanikiwa, kwani inazungumzwa mno, kwa wataalamu wa makinikia ya marketing wanajua hili, ndo mana kwa kuonesha amedhamiria ameamua kuweka funga na fungus semi, sema tu kwa kuwa gazeti lenyewe ni la makinikia ndo basi kila MTU ameamua kuonesha hasira zake hapo, kwa Leo tu mi namtetea huyu mwandishi
 
KWELI TUNA SHIDA NGUMBARU INAHITAJIKA
 
Hahahhaahhhaahha ahsanteni kwa kunipa friday yenye furaha .... Pole mwayego Son of Cow.
 
Cha kushangaza ni kwamba 'son of a cow' kaiba mabilion lakini faini yake ni milion 200 tu hili ni moja ya ajabu la nchi hii
 
Hivi kwa nini vitu vya serikali ya Tz huwa vya hovyohovyo?Tbc tv na radio hovyoo,timu ya mpira ya serikali iitwayo taifa stars nayo hovyoo kabisaa na hili gazeti nalo.pumbavu,yani huyu chief editor ni hovyo kabisa au katuona sisi mabashite?eti alitaka kumaanisha ndama mutoto ya ng'ombe,mnatuchoresha bana ndo maana wengine jana ikulu wakatoa press release tofauti na walichoongea wazungu wa watu.
View attachment 524621
Ni sahihi kabisa kwa sababu ameweka katika alama za kufunga na kufungua semi (quotes). Hizo zinaashiria kuwa neno hilo limepewa special meaning kwa hapo tu au kwa leo tu na si dalili ya umbumbumbu mkuu.
 
Kwa maoni yangu mwandishi hajakose tunakosea wasomaji kwa kujifanya wajuaji Sana, huyu kaandika kifasihi na kuvuta tension ya wasomaji, hadi hapo ameshafanikiwa, kwani inazungumzwa mno, kwa wataalamu wa makinikia ya marketing wanajua hili, ndo mana kwa kuonesha amedhamiria ameamua kuweka funga na fungus semi, sema tu kwa kuwa gazeti lenyewe ni la makinikia ndo basi kila MTU ameamua kuonesha hasira zake hapo, kwa Leo tu mi namtetea huyu mwandishi

"Funga na fungus semi" wale wale. Kichwa kikubwa,akili kisoda.
 
Yaap wako sahihi kwa sababu hilo neno limetumika tu kama slang na pia kama `also known as` ya jamaa na sio kwamba ni official translation.
Wangeandika Bull/Calf kurefer ndama mtoto ya ng`ombe ndio ingechafua hali ya hewa zaidi
 
Ila mimi naona kapatia, sasa angeandika Daughter of a Cow sijui ingekuwaje..

Nacheka kama mazuri vile.
 
Mwandishi wa hiyo habari hajakosea chochote. Kama mtu anajiita mtoto wa ng'ombe wakati yeye ni binadamu nyie mnalazimisha vp aitwe calf? Miafrika bhana!
 
Back
Top Bottom