Ni kanuni ipi ya kupata solar,charger control na | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kanuni ipi ya kupata solar,charger control na

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Sony, Feb 25, 2012.

 1. S

  Sony New Member

  #1
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi fundi solar ila napatashida kujua ni solar ipi inafaa kwenye kazi furani,na betri yake na c/control,pia napenda kuja kampuni ni ipi nzuri hasa solar
   
 2. vipik2

  vipik2 JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,175
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Ukishajua nitengenezee inverter au solr panel yenye uwezo wa ku-run friji,tv,redio na feni(TV nchi 54 flat screen lcd)
   
 4. eucalyptos

  eucalyptos JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 381
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  KAMPUNI NZURI NI TELEFUNKEN ya Ujerumani NA GLENERGY ya Canada. Wana maofisi hapa Tz na product zao ni bomba. angalia website zao lakini kwa Glenergy piga +255754759981 na website http://www.glenergy.ca/

  Hao wengine wanauza product za makampuni mbalimbali.
   
 5. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,034
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Hacha ujanja mkuu we sio fundi. Kama unataka kujua iyo kitu kwanza ujue maitaji ya huyo mteja wako .yaani taa ngapi ? Tv.friji na kazarika weka maitaji yako hapa nikushauri .vifaa vya kununua na umeme unaoitaji
   
Loading...