shine G
Senior Member
- Apr 21, 2016
- 172
- 115
salaaam!
ni ivi,jumapili nilikuwa natoka safari toka shinyanga to Iringa,nikiwa stend kuu ya shinyanga,akatokea kijana fulan alijitambulisha kwa jina na nikaweza tambua kuwa ni mkaguru.
Baada ya utambulisho akanambia ana tiket mkonon to Iringa but ni mgen kwa iringa japo inayompeleka ni kaz.nikamwambia mi ni mwenyeji wako.Aisee,kiukweli pale nilimchukulia poa,so nikawabusy somehow japo yeye alijitahidi kuwamsaidiz wangu kwa kila nilichokuwa nafanya kwa time ile.
Basi safar ikaanza,story,story na wewe.Kutokana na umbali Wa safar na matatizo ya usafiri tulifika iringa saa 7 usiku,mi binafsi nilikuwa nimechoka na usingiz ukachangia nikawa nawaza kitanda tu.
Tukaanza saka vyumba vya kulala,hapa na pale kwa sababu ni stendi ya mabas,guest nyingi zikawa zimejaa,but Mungu Mkuu tukafanikiwa lodge moja lakin ilibakiwa na room moja self cont.Shida ikaanzia hapo,kwanza tukatazamana kwa muda fulan,muhudumu naye anatutazama bas mioyo ikaongea KALALENI.....jamaa akatikisa kichwa kuashiria kwamba ndo ivo tuingie,kwa kuogopa muhudumu kutushtukia kuwa hatufahamian tukatimba.
Mi kichwan nawaza,yaan ukisikia mtu kafia lodge ndo Leo.Nikatangulia kuoga kinguonguo,yeye zamu yake akavua nguo kaenda na taulo,nilikuwa namwangalia coz nilikuwa naogopa majanga.
karudi kulala akajifunika blanketi lake,story zikanoka mi hapo mkavuuu,yaan usingiz kwisha.zilianza story za maisha,maisha maisha....SAA nane zikabadilika love story,oo mi niliumizwaga niliumizwaga,Tisa,zikaanza za baridi,oo barid barid iringa.
kutazamana kwa hisia kukaanza Mara blanketi moja Mara yeye ndo blanket.Ndo ikawa ivo.
Tunaendeleza mawasiliano ila tatizo lipo kwangu sasa,kutokana na mkono wake kufika mbali na kuweza kukuna ipasavyo,nimependa kweli.I love you zimekuwa nyingi from him but namwomba Mungu iwe kweli coz nikizama ndo nimekufa.mi 27 ye 29.
Nishaurini jamen napotea kumwekea malengo makuu au nikubali pata potea.