ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,305
Nadhani zamani kuliko sasa.Aloo... uhausgeli ni dili tangu zamani
Aloo... uhausgeli ni dili tangu zamani
Nadhani zamani kuliko sasa.Aloo... uhausgeli ni dili tangu zamani
Aloo... uhausgeli ni dili tangu zamani
Inawezekana jamaa. Maana wamaza haus wa sasa wamekua wakali kdg na wanachagua wasio warembo.Nadhani zamani kuliko sasa.
Haahaahaaaà,mkuu tunanaumizana mbavu asubuhi. Anyway once a bastard always a bastard!! Huwa siwaelewi sana wanaomshobokea yule mwari kigego.Inawezekana jamaa. Maana wamaza haus wa sasa wamekua wakali kdg na wanachagua wasio warembo.
Actually ni dili tangu dunia iumbwe. Kumbuka hata Abram alijitwalia na akapatamo uzao wa kutosha.
Jamaa unakufuru. Mungu ana makusudi yake na njia zake ni kamilifu. Jiulize aliowazaa ndoani mbona sio maarufu km huyo? Na kwanini despite ukinzani mkubwa juu yake nyota yake inang'aa tu?Haahaahaaaà,mkuu tunanaumizana mbavu asubuhi. Anyway once a bastard always a bastard!! Huwa siwaelewi sana wanaomshobokea yule mwari kigego.