Ni kakosea ama ndicho kilichopo moyoni mwake?

Ni kakosea ama ndicho kilichopo moyoni mwake?

Makamanda feki, siku hz wapo kibao chadema....tena wanatafuna matunda yaliyopandwa na makamanda halisi, siumemuona masha anapiganiwa kuwa mbunge EALA?!
 
Kakosea tu huo ni ugeni hata lowasa yashamkuta sana hayo

au nawe umesahau mzee wa Gaddafi ni rais wa quweit?
 
Penzi kikohoz kulificha huwez, huyu mama bado kijani mwenzangu
 
Tucmlaumu mama yetu,Dada yetu,ndugu yetu,kwakua amelelewa na kukulia chama alichokitaja,kwahiyo nikitu kilicho mkaa mno kinywani kwa Muda mrefu wa maisha yake.hongera sn Dada yangu,mimi nakupongeza,nakupenda sn,na kukushukuru,kukubali kufanya kz mstari wa mbele, kulikomboa taifa letu,na kurejesha tena upendo na amani yetu,ambavyo kwa kiac kikubwa vimetoweka.barikiwa sn Dada.
Sasa si hata Kura atajikuta amesahau amekipigia Chama cha mapinduzi? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
She meant it...

Hawa si wa kufuatilia.. Wamechanganyikiwa..
 
Ukiiacha ccm utakonda wewe wakati yenyewe inaendelea kunenepa..
 
Back
Top Bottom