Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,141
- 143,736
Msikilize mama Wema hapa.
Sasa sijui ni kakosea kweli au ni Freudian slip...
Sasa sijui ni kakosea kweli au ni Freudian slip...
Oyeeeehahahhahahha ccm oyeeeee
Waterloo,siku yeye na mwanawe wakirudi ccm ndio mtawajua kuwa ni waganga njaaAmeteleza ukizingatia amekulia huko mpaka uzee huo
Arudi tu kwani yeye wa kwanza? Alirudi mpendazoe, wasira, makongoro awe mama wema? Nadhani akirudi huko mtaacha kumwita muuza ungaSiku wakirudi ccm,ndio mtajua kuwa ni waganga njaa
Waterloo,siku yeye na mwanawe wakirudi ccm ndio mtawajua kuwa ni waganga njaa
Kurudi chamani zama za kikwete ni tofauti na Magufuli,muulize nyeti za kuku alitaka kurudi,Magufuli alimjibu niniArudi tu kwani yeye wa kwanza? Alirudi mpendazoe, wasira, makongoro awe mama wema? Nadhani akirudi huko mtaacha kumwita muuza unga