HahahahHilo kitaalamu linaitwa KINIKIA yakiwa mengi tunayaita MAKINIKIA, nakushauri ulirudishe ulipo litoa maana haturuhusu kuyasafirisha vinginevyo tutakuunganisha na ACACIA
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaaahhh JF nibalaaa nmecheka sanaHilo jiwe nimelitafuta kinyama kumbe we ndo uliliokota, naomba unirudishie jombaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40]Kwa kuwa upo geita matumaini yako kwa sasa kuwa hilo jiwe umetoboa nalo
Hiyo ni kakumbaWakuu nipo huku Geita, katika pita pita zangu nimeokota hili jiwe, Je laweza kuwa nini!?
Wakuu nipo huku Geita, katika pita pita zangu nimeokota hili jiwe, Je laweza kuwa nini!?
Ina maana wote mliochangia hapa mmeshindwa kutambua kuwa hiyo picha ni ya kugoogle? gold nugget?