Ni jinsi gani naweza kujikinga na radi?

Mara nyingi inapotokea radi nashindwa kujua kipi kifanyike,zamani nilikuwa napaka mkaa kichwani sasa sijui kama ilikuwa sahihi,siku nyingine nilikuwa najificha nyuma ya kondoo,nikiaminishwa kondoo anampiga radi,wengine walikuwa wanasema watoto mapacha wanazuia radi sasa naomba ushauri wa kitaalamu wana JF JINSI GANI YA KUJIKINGA NA RADI
Kama ni nyumbani kwako weka vikinga mvua, ama kama uwezo mdogo panda mti wa mnyaa uwanjani pako karibu na jengo, unazuia radi 100%.
 
Huo mti ulikuwa unapigwa sana na radi.... hahaha.... we jamaa
Sema wazee .....tuache utani radi ni kitu kingine .......

Mwaka Jana nusu nilambe ardhi kiss radi but mungu ni mkubwa......mmi nimezoea huwa nachomeka simu chaji then naendelea kucheza games

Sasa siku hiyo mvua ya nguvu inapiga plus radi ....Mimi sielewi kitu naaendelea na gemu kwenye simu.........aiseee ulipiga mwanga mkali Sana ......nilijikuta nmebamizwa ukutani .....then simu iliganda kwa muda kiganjani ..then ikaanguk...daaaah nilijua nishakata Moto

Siku nyingine nimeshika shoka na pasua kuni ........ilipga radi ya nguvu ......nlihisi kuna mtu ka connect waya wa umeme.....kwenye shoka (ya chuma).......plus kutupwa kule

But yote haya yalikuwa yanatokea kwa sababu kulikuwa na mti karibu na hom .......huwa radi zilikuwa zinapiga Sana kweny ule mti

Radi sio za mchezo
Muongo sana.
 
Back
Top Bottom