Ni jambo jema kushukuru

Ni jambo jema kushukuru

ikersmn

Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
18
Reaction score
16
Wana jf nashukuru sana kwa mawazo, ushauri, sala, majadiliano mbalimbali kuhusu ajira, nisipo shukuru nitakuwa mchoyo wa fadhila, kwa sasa nimepata kitengo, naomba muuendelee na moyo huo huo wa kusaidiana.
 
Safi sana sasa na wewe saidia wenzako.
 
Hongera mkuu, endelea kumtegemea Mungu na zaidi piga kazi kwa bidii na kwa uaminifu.
 
Back
Top Bottom