Marafiki,kampani niliyokuwa nayo ni hovyo, ni pombe tu na mademu akuna cha maana kingine.
Suluhisho: kama nikifanikiwa kuacha kutafuna tafuna nikaoa itakua njia nzuri ya kupunguza ukaribu na hawa wanyanyembe wa pombe,wataniona kwenye status tu na notification ya whatsap"last seen today at 12:00 pm"baas.