Ni jambo gani ungelifanyia mabadiliko maishani iwapo ungepata nafasi?

Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
5,050
5,077
Maisha yamejaa mitihani, tunakosea na wakati mwingine tunashindwa kufanya masahihisho, hivi ungepewa nafasi ya kusahihisha makosa uliowahi kufanya maishani unadhani ni jambo Gani ungelifanyia mabadiliko kwa haraka na kwa nini?

Niwatakie Daku njema
 
Marafiki,kampani niliyokuwa nayo ni hovyo, ni pombe tu na mademu akuna cha maana kingine.

Suluhisho: kama nikifanikiwa kuacha kutafuna tafuna nikaoa itakua njia nzuri ya kupunguza ukaribu na hawa wanyanyembe wa pombe,wataniona kwenye status tu na notification ya whatsap"last seen today at 12:00 pm"baas.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom