Ni jambo Gani ulishawahi kuwadanganya ukweni

Ni jambo Gani ulishawahi kuwadanganya ukweni

Mimi niliwadanganya situmii kilevi chochote. Wakanihurumia sana nawezaje kuishi na chapombe wao.

Wakanishauri niwe hata nakunywa wine sio dhambi. Wakati huo wananishauri na mtoto wao ana support niwe napata hata glass moja baada ya dinner. Utadhani hajui kwamba mimi na yeye tunafanyaga mashindano ya kunywa pombe[emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilitakiwa kwenda kwny mafunzo ya JKT kwa lazima 1984 kwa wale tuliokuwa tayari kazini ( in service training) na wakati huo nilishawapanga kuwa Mie ni Afisa Usalama …sasa kuepuka kuumbuka nikawadanganya Naelekea Yugoslavia kwny mafunzo maalum …tukiwa kambini nakutana na class mate wa Kaka wa Bi harusi Mtarajiwa
nikajisemea nkimwambia asiwaambie ndio kama nimempa uwakala wa kutangaza …nikapiga kimya tumerudi mafunzo nikarejea kazini na mipango ikaendelea bila ya kujua kuwa yule Jamaa alisema kama tulikuwa wote au na yeye alidanganya kama Mimi kuwa yupo nje katumwa na Serikali

maana miaka hiyo kwenda JKT kutokea kazini ilikuwa jambo tusilopenda kabisa
 
Mimi nakumbuka few years ago niliwahi kudanganya familia flani mi daktari nipo muhimbili kitengo siri cha kuhudumia wagojwa na watu wasiojulikana .

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
You sound kama Shemeji yangu mmoja hivi alidanganya yeye ni daktari Muhimbili siku ya Mahari wanakutana na Baba Mkwe na yeye ni Daktari Muhimbili, ilikua aibu ya Mwaka, kumbe jamaa ni dereva wa Ambulance ila kwa kua Binti alipenda ndoa ikafungwa tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom