Ni ipi tafsiri ya neno Mwendazake kwa kiingereza?

Wakuu awamu ya sita hii acha kazi iendelee

Back to the point. Nipo hapa naandika kathesis kangu, ila nataka kutumia hili neno la mwendazake. Sasa hii lugha ya malkia imenivimbia nimeshindwa kutafsiri hili neno. Ebu mwenye tafsiri sahihi anishushie hapa ili tuendelee kuyajenga.

Umuofia kwenu
Mkuu tafsiri halisi ni The deceased!!
Kyodowe

@ Kyodowe
 
Balaa..
Screenshot_2021-06-18-08-38-40-1.jpg
 
Wakuu nashukuru sana. Nimepata mwanga kidogo
Mwendazake ni mtu aliyefariki hivi karibuni.. sasa kiingereza anaitwa deceased... kwa aliyekufa recently(karibuni)

English dictionary;
The deceased is used to refer to a particular person or to particular people who have recently died.

Kamusi ya kiswahili ya BAKITA Toleo la pili 2017 inasema.. mwendazake ni "mtu aliyefariki hivi karibuni au ambaye mipango ya mazishi inaendelea"
 
Back
Top Bottom