Ni ipi njia bora ya kulipa fao la uzeeni?

Ni ipi njia bora ya kulipa fao la uzeeni?

DOMINGO THOMAS

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2023
Posts
368
Reaction score
380
IPI NI NJIA BORA KULIPA MAFAO YA UZEE

1. Kiinua Mgongo pekeyake (Mtu apewe kiasi chote 100%)?
2. Kiinua mgongo pamoja na pensheni ya kila mwezi?
3. Pensheni ya kila mwezi tu, mstaafu akistaafu anaingia kwenye system ya kulipwa pension ya kila mwezi isiyo pungua asilimia 75% ya mshaara wake?
 
Back
Top Bottom