Kiongozi hiyo miaka 7-8 kwa pinus yawezekana kwa IMPROVED TREE SEEDS .... lakini kwa UNIMPROVED ONES muda huo bado ni IMMATURE TREES .... japo mtaiona imekomaa ....
Ukitaka uione pinus ilofika miaka 10 na zaidi nenda SAO HILL FOREST PLANTATION
Tuko pamoja kiongozi. By the way thank you for both your COMPLIMENT and your GOOD EXPLANATION too. I'm quite sure the members especially the poster will definitely benefit from your KNOWLEDGE and EXPERIENCE as well.Kaka asante kwa kusaidia kutoa elimu hii, wadau wengi wanapata taarifa toka vyanzo ambavyo si sahihi, matokeo tunapata mazao feki yasiyo na ubora.
Naomba niseme, ukitaka taarifa sahihi za miti pita TTSA Iringa, TTSA Lushoto, TTSA Morogoro na TTSA Arusha. Tusipoteze muda, wakati majibu sahihi yapo ktk taasisi hizo. Toa taarifa na habari za kisayansi kwa kutoa reference official. Kinyume na hivyo ujue unadanganya.
Zipo modified GMO technology ya kupunguza umri wa miti Kwa kuharakisha ukuaji badala ya hio 15 au 20 ukavuna kuanzia miaka 8 hadi 10 ukapata ubora na ukubwa sawa tu na wa miaka 20,kuna dawa za kuchoma miti,ni kama booster za mazao vileData za miaka 7 na mitiki miaka 15 umepata wapi?, mimi nimezitoa TTSA. Bila kutumia improved seeds/GMO huvuni miti ya mbao kwa ubora unaotakiwa chini ya miaka 20. Mitiki na Cyprus inakula miaka ya kutosha. Labda acrocarpus unaweza vuna baada ya miaka kumi.
Ila kama unavuna kwa kuibaka miti sawa, hata miaka miwili inawezekana.
FDT Iringa wanasambaza mbegu hizo, ila mwitikio umekuwa hafifu sbb ya mbegu zake kuwa ghari balaa. Wana shamba pale Kisolanza/Rungemba, kwa anayetaka ni vema akachapa lapa ili akajifunze kwa vitendo zaidi.Zipo modified GMO technology ya kupunguza umri wa miti Kwa kuharakisha ukuaji badala ya hio 15 au 20 ukavuna kuanzia miaka 8 hadi 10 ukapata ubora na ukubwa sawa tu na wa miaka 20,kuna dawa za kuchoma miti,ni kama booster za mazao vile
Kaka samahani heka 200 kwa bei gani! !Kuna jamaa yupo Njombe anauza shamba heka 200 @80000 mi nmepanda heka 20 tu miti Aina ya pynes
Unaweza ukamwona mtoto bonge bonge ukadhani ni mtu mzima, unene wa mti (kipenyo) sio kwamba umekomaa. Tupekue vitabu na tafiti ili tujue mti uliokomaa unatambuliwa kwa vigezo vingapi. Ni sawa na kuku wa bloiler anavyotumika kutosheleza soko la nyama ya kuku, lakini madhara yake tunayajua.
Njombe sehemu gani Wilaya ipiiKuna jamaa yupo Njombe anauza shamba heka 200 @80000 mi nmepanda heka 20 tu miti Aina ya pynes
Kupembe mkuuNjombe sehemu gani Wilaya ipii
Ndio mkuu kuna utofauti wa udongo na hali ya hewa. Mm nina miti ya miaka kuanzia mwaka mmoja mpaka kumi katika wilaya ya Makete mkoani njombe ndg yangu miti inakua hiyo mpaka balaa. Kuna mwaka nilisikia huko kwenu ni moja ya sehemu ina mvua nyingi nikataka nije nifanye utafiti kama naweza pata ardhi nipande na huko. Lkn bahati mbaya ratiba ilinikaba nikashindwa. Vp bei za ardhi huko imekaaje?Nmepanda mi pyne huu huko bukoba..huu sasa ni mwaka Wa 4 miti bado midogo tu sasa nikisikia mtu anasema mi pine miaka 7 unavuna najua sielewi..unless kama udogo unatofautiana..
Wapi huko mkuu? Miaka hiyo 15 kwa Makete unapiga pesa ndefu sana. Kule watu ni kweli wanavuna miti ya miaka 7 na kuendelea mpaka hapo 15 inategemeana na ardhi ilipopandwa hiyo miti. Kama umepanda kwenye ardhi nzuri unaweza pata zaidi ya 150,000/= kwa mti mmoja kwa hiyo miti ya miaka 15. Karibu tuwekeze Makete mkuu.Mi mwenyew nlidanganywa pyne ni miaka saba kumbe pyne hadi ikomae ni miaka 15
Kupembe mkuu
Hongera sana na pole kwa mkasa uliokupata.Nmepanda mi pyne huu huko bukoba..huu sasa ni mwaka Wa 4 miti bado midogo tu sasa nikisikia mtu anasema mi pine miaka 7 unavuna najua sielewi..unless kama udogo unatofautiana..