Kyeyombekeile
Member
- Feb 15, 2021
- 14
- 17
😄😄😄😄 Angekuwa ni mm Wala nisingehangaika na masters nadhani hiyo kazi ingenitosha kabisaSi useme tu ni wewe kwan utapungukiwa na nini?
Mwambie akasome GIS.Ndugu wana Jukwaa la Elimu,
Yupo jamaa yangu ni mtumishi wa serikali upande wa utawala na ana BAED (Geography and Political Science and Public Administration) wiki moja nyuma alikuja kuomba ushauri juu ya ipi masters nzuri ya kusoma Kati ya public administration na GIS nikamshauri kwa kuwa Yuko upande wa utawala asome public administration ili kuongeza ujuzi japo yeye alikuwa anapendekeza GIS eti kisa kuna wataalamu wachache hivyo anaweza pata kazi nyingine ya juu zaidi, lengo lake ni kuongeza elimu ili apate pesa.
Kazi yake ni mtendaji wa kata nami nimeona nilete hapa kwa wajuzi wa mambo ili kupata A B C zaidi.
Karibu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787]Naomba kuuliza chuo gani wanatoa hii program ya BAED (Geography and political science and public administration)
Akijibu hili nitag mkuuNaomba kuuliza chuo gani wanatoa hii program ya BAED (Geography and political science and public administration)
Naomba kuuliza chuo gani wanatoa hii program ya BAED (Geography and political science and public administration)
Akijibu hili nitag mkuu
Sio kweli. Huyu jamaa amesoma BAED Ila amejikita katika Geography na akawa anaopt baadhi ya kozi za Political Science.Ipo Chuo kikuu cha DarEsSalaam(UDSM) na matawi yake.
Sio kweli. Huyu jamaa amesoma BAED Ila amejikita katika Geography na akawa anaopt baadhi ya kozi za Political Science.
Lakini UDSM hakuna hiyo kozi ya BAED ( Geography, political science and Public Administration)
Degree yake itaendelea tu kuitwa Bachelor of Arts in Education.
Sio kweli. Huyu jamaa amesoma BAED Ila amejikita katika Geography na akawa anaopt baadhi ya kozi za Political Science.
Lakini UDSM hakuna hiyo kozi ya BAED ( Geography, political science and Public Administration)
Degree yake itaendelea tu kuitwa Bachelor of Arts in Education.