TMDA zamani ndio ilikua TFDA sio?TMDA VS TRA
Habar wadau mpo pouwah.
Naomba mwenye kujua ni Agency ipi kati ya hizo yenye kulipa vizur?
A) Mishahara ipoje
B) Allowance wapi ni nyingi zaid..
Maana kuna rafk yangu wa karibu sana ameniambia ofcn kwao amepokea barua mbili ndan ya wiki sasa anashindwa kujua achaguwe wapi Ahamie...
Yeye ni Muhasibu yupo Halmashaur.......
Nawasilisha...
TMDA naona TRA wna posho kibao ila mshahara hawatoboi TMDA ila TRA kuna fursa na special duty nyingi za kupiga pesa na overtimeTMDA VS TRA
Habar wadau mpo pouwah.
Naomba mwenye kujua ni Agency ipi kati ya hizo yenye kulipa vizur?
A) Mishahara ipoje
B) Allowance wapi ni nyingi zaid..
Maana kuna rafk yangu wa karibu sana ameniambia ofcn kwao amepokea barua mbili ndan ya wiki sasa anashindwa kujua achaguwe wapi Ahamie...
Yeye ni Muhasibu yupo Halmashaur.......
Nawasilisha...
kama kuajiriwa si anapokea offer letter anaconfimTMDA VS TRA
Habar wadau mpo pouwah.
Naomba mwenye kujua ni Agency ipi kati ya hizo yenye kulipa vizur?
A) Mishahara ipoje
B) Allowance wapi ni nyingi zaid..
Maana kuna rafk yangu wa karibu sana ameniambia ofcn kwao amepokea barua mbili ndan ya wiki sasa anashindwa kujua achaguwe wapi Ahamie...
Yeye ni Muhasibu yupo Halmashaur.......
Nawasilisha...
Aende TMDANdio mkuu
TMDA mshahara umenielewa wako vizuri ule uwakika kila mwezi na allownce z kutoshaSijakuelewa vizur fafanua kidogo
Wapi sasa ni pazur kwa maana ya Maslai
TMDA aende TRA lawama na walipunguziwa allownce kipind cha maguKapata barua ya uhamisho ila haisem habar ya Mshahara. Sasa ndio anauliza wapi aende.
focus yake ni mshshara na Marupurupu mengi yapo taasisi ipi hapo?
Hiv nani kasema TRA kuna mishahara mingi? TRA kuna njia nying za pesa mbadala. Yan hata polisi wa Patrol, trafic, bandari, airport wote mishahara ile ile ila wanatofautiana kwenye pesa mbadala[emoji23][emoji23]TMDA VS TRA