Ni ipi hadhi ya malaya katika jamii?

Povu jiingii! Umalaya ndo umeujua leo? Tulia hivyohivyo uungue taratiibu.
 
 
Hivi mtu akitembea uchi anakuathiri Vp wewe?!!Au huwaoni vichaa kila kona wakitembea uchi?!!

Tatizo tunataka kuimiliki jamii na kufanya tunachotaka sisi, kwa ufupi Hata mwanao sio miliki yako.

Respect free will Of others.
Kutembea uchi = UKICHAA
[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Hivi mtu akitembea uchi anakuathiri Vp wewe?!!Au huwaoni vichaa kila kona wakitembea uchi?!!

Tatizo tunataka kuimiliki jamii na kufanya tunachotaka sisi, kwa ufupi Hata mwanao sio miliki yako.

Respect free will Of others.

Tatizo juu ya tatizo umeshasema vichaa unataka kusema kumbe ma miss ni vichaa ?
 
kama unaona mamis wanafaid kuwa malaya bas naww kagombee umiss ili ufaid
 
Nimesema tunalaani tunachokitenda. Unafiki mtupu. Ukimwi unaua huku unajipeleka kuzamia mzima mzima. Condom inavuliwa na kutupwa katikati ya "game"!
Wewe pamoja na jamii nafiki ndiyo mtupiao mawe malaya hadharani, wakati mnawatafuta mafichoni kwa muda wenu na mnahonga pakubwa!
Hicho kitu nilichokueleza kinafanya wanafiki mfano wako wajinyonge wagunduapo wanangoma. Hawakubali matokeo ya matendo yao ya kinafiki, wanajiua!
Ndomaana nikasema umalaya ungekuwa mbaya, jamii ipo, watunga sheria na watawala wapo, iweje pasitungwe sheria madhubuti na ya kikatili kukomesha kabisa tabia hiyo?
Tunakilaani tunachokipenda na kukuifanya, aidha waziwazi ama kwa siri. Unafiki tupu.
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…