Kibosho kwetu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 215
- 85
luanda inn boma road au stylose vibandani
Kwa Tshs 30,000/= hakuna 'Hoteli' utakayopata Morogoro, itakayokuhakikishia usalama na utulivu, ongeza hela hiyo, chini ya hapo utapata 'Guest House'
Aongeze hela gani jamani wakati aliyonayo ndio uwezo wake?
labda huko morogoro, lakini dar hiyo hela unalala tena hotel nzuri tu
Nenda NASHERA HOTEL ni nzuri sana ipo Boma road kama unaelekea kwa mkuu wa mkoa.
Tafuta kuna Hotel inaitwa KAHUMBA, tena hapo na blanket mtu au nyama unapata unaenjoi
Kwa Tshs 30,000/= hakuna 'Hoteli' utakayopata Morogoro, itakayokuhakikishia usalama na utulivu, ongeza hela hiyo, chini ya hapo utapata 'Guest House'
Mh hapo Moro kuwa makini. Kuna wadada wanaiba simu,pesa na nguo na unaachiwa smg tu.Habari zenu wadau.
Tafadhali naomba kujua ni hoteli gani nzuri morogoro mjini hasa huduma, usalama na bei nafuu ya vyumba?
Natafuta hotel ambayo naweza kupata chumba kwa bei isiyozidi sh. 30,000 kwa siku.
Stylose Mkuu dahluanda inn boma road au stylose vibandani