TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,593
Hio sio hoja ya msingi ,nyaya zote zina color code inayo match na speaker inlet and outlet hata kama haujui kusoma rangi nazo hauzioni au ww ni colour blind??Mie home theater zina usumbufu wa zile nyaya zake na ufundi wa kupangilia spika ili kupata sauti nzuri.
Kupunguza matatizo, nimehamia Sound Bar ( samsung au LG) inaweza kukufaa.