Jamani wadau natumia nokia 2323c na nokia 2700c ni nzuri kwa kwel coz zina operamin na natumia net bila vikwazo ila cha ajabu zote hazina sehemu ya backlight setting kwajili ya kupunguza kasi ya mwanga na kuweka mda wa kudisplay mwanga hivi vyote hamna na sijui kwa mengine vp wenzangu wa nokia ni hizi classic tu au af nokia ambayo iko full section ni ipi?
kwa kuwasaidia jaribu kutumia uc web browser badala ya opera mini zote zina function sawa then uc web ina option ya kudownload themes toa theme nyeupe inaoumiza macho eka theme kama khaki na rangi zilizofubaa inaweza kusaidia. Kuipata nenda m.ucweb.com

mkuu tatizo sio browser ukisoma fresh! Ni kwamba hizo sim hazina backlight settings,you know kwenye sim zingine unaweza kuset brightness na muda ambao usipobonyeza simu LCD inazima.
ok hazina option ya kuset backlight. hayo ndio maumbile yake. ila sijafaham tatizo lako haswa ni nini? unataka njia ya kuwezesha au kulazimisha kuset backlight?