jamani ushauri wenu hapa.
nini rafiki angu anaitwa Z,ameolewa mwaka mmoja uliopita,aliamua kumchukua mamamkwe wake waishi pamoja maana alikuwa mjane, tatizo ni kwamba mamamkwe anataka mwanae ale chakula alichopika yeye, nguo za mwanae anataka afue yeye,akikaa kwenye tv usiku anataka aangalie tv na mwanae mpka saa tano usiku. licha ya mke kulalamika kwa mumewe juu ya hiyo tabia,hakuna mabadiliko.mume anampenda sana mkewe vilevile mamake mzazi. nini kifanyike jaman??????????