Ni heri ya Lowassa,
Ni heri kabisa huyu kiongozi ambaye ametumia theluthi mbili ya maisha yake kwenye uongozi wa kisiasa, hana shida, hana tamaa, hana wivu na wenye nacho, hana lugha mbaya,hana vitisho, hana mabishano na hana maneno mengi.
Uongozi wa Lowassa usingeweza kuwaita wanadamu mashetani never, hana tabia hivyo na haijawahi kusikika! Si mtu wa lugha lukuki,ispokua maneno machache kazi kwa sana.Asingeweza kuona watumishi wakilia na maslahi duni ya kazi zao huku maisha yakipanda kila kukicha.
Ni heri mwizi tunayemjua akatubia maisha yasonge mbele kuliko kuishi katika hofu,taharuki, kukosa Uhuru w kutoa maoni na kujadili taifa letu.Nchi inaongozwa kwa misingi ya katiba na sheria isingiwezekana Lowassa akavuka mpaka yake ya uongozi.
Kwa uvumilivu wa kisiasa aluokwisha uonesha umma na dunia juu ya figisu figisu wakati wa Uchaguzi mkuu 2015, isingewezekana kwa kiongozi mwingine kuvumilia haya. Pia kwa hakika utulivu uliopo Zanzibar kwa sasa nina uhakika kua upo mchango Mkubwa sana wa kiongozi huyu na nadhani matunda yake tutayashuhudia.
Baada ya fidel castro kuingia havana kibabe 1959 akiwa na cigar mdomoni na bastola kiunoni akisindikizwa na vikosi vya kimapinduzi mabepari uchwara na wanyonyaji wengine walitimkia marekani wakiongozana kiongozi wao kibaraka batista. huko kwa miaka mingi wameendelea kufoka na kumtakia fidel umauti. mabepara uchwara wetu hadi wanatia huruma kwa kulialia hawana pa kukimbilia. ujio wa jpm kwa kura za wananchi imekua pigo kwelikweli kwao.Ni heri ya Lowassa,
Ni heri kabisa huyu kiongozi ambaye ametumia theluthi mbili ya maisha yake kwenye uongozi wa kisiasa, hana shida, hana tamaa, hana wivu na wenye nacho, hana lugha mbaya,hana vitisho, hana mabishano na hana maneno mengi.
Uongozi wa Lowassa usingeweza kuwaita wanadamu mashetani never, hana tabia hivyo na haijawahi kusikika! Si mtu wa lugha lukuki,ispokua maneno machache kazi kwa sana.Asingeweza kuona watumishi wakilia na maslahi duni ya kazi zao huku maisha yakipanda kila kukicha.
Ni heri mwizi tunayemjua akatubia maisha yasonge mbele kuliko kuishi katika hofu,taharuki, kukosa Uhuru w kutoa maoni na kujadili taifa letu.Nchi inaongozwa kwa misingi ya katiba na sheria isingiwezekana Lowassa akavuka mpaka yake ya uongozi.
Kwa uvumilivu wa kisiasa aluokwisha uonesha umma na dunia juu ya figisu figisu wakati wa Uchaguzi mkuu 2015, isingewezekana kwa kiongozi mwingine kuvumilia haya. Pia kwa hakika utulivu uliopo Zanzibar kwa sasa nina uhakika kua upo mchango Mkubwa sana wa kiongozi huyu na nadhani matunda yake tutayashuhudia.
huyo ambaye hayumo ni utumbo gani anaufanya hapa nchini? kazi kutumia nguvu kuliko akiliNenda kapitie list of shame ya Lisu kama hayumo
kama na wee ni mwizi jiandae kutumbuliwa tu ukaungane na wezi wenzakohuyo ambaye hayumo ni utumbo gani anaufanya hapa nchini? kazi kutumia nguvu kuliko akili
Pamoja na mapungufu ya mkuu lakini bado huwezi kumfananisha na mamvi.Yaani huyu sizonje ana visasi sijawahi ona!
Nenda kapitie list of shame ya Lisu kama hayumo
Baada ya fidel castro kuingia havana kibabe 1959 akiwa na cigar mdomoni na bastola kiunoni akisindikizwa na vikosi vya kimapinduzi mabepari uchwara na wanyonyaji wengine walitimkia marekani wakiongozana kiongozi wao kibaraka batista. huko kwa miaka mingi wameendelea kufoka na kumtakia fidel umauti. mabepara uchwara wetu hadi wanatia huruma kwa kulialia hawana pa kukimbilia. ujio wa jpm kwa kura za wananchi imekua pigo kwelikweli kwao.
nahisi nakuona ndugu MAHANJU. Maana umeandika kwa hisia na uchungu mkubwa sana Bro 2020 siyo mbali tumwombe Mola Atupe Uhai yaelekea Hisa zako zika zaa matunda.
Baada ya fidel castro kuingia havana kibabe 1959 akiwa na cigar mdomoni na bastola kiunoni akisindikizwa na vikosi vya kimapinduzi mabepari uchwara na wanyonyaji wengine walitimkia marekani wakiongozana kiongozi wao kibaraka batista. huko kwa miaka mingi wameendelea kufoka na kumtakia fidel umauti. mabepara uchwara wetu hadi wanatia huruma kwa kulialia hawana pa kukimbilia. ujio wa jpm kwa kura za wananchi imekua pigo kwelikweli kwao.
Wewe huna akili kabisa, Castro alikuwa na uzuri gani?Baada ya fidel castro kuingia havana kibabe 1959 akiwa na cigar mdomoni na bastola kiunoni akisindikizwa na vikosi vya kimapinduzi mabepari uchwara na wanyonyaji wengine walitimkia marekani wakiongozana kiongozi wao kibaraka batista. huko kwa miaka mingi wameendelea kufoka na kumtakia fidel umauti. mabepara uchwara wetu hadi wanatia huruma kwa kulialia hawana pa kukimbilia. ujio wa jpm kwa kura za wananchi imekua pigo kwelikweli kwao.