Ni heri kukosa mali kuliko kukosa akili

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
ni heri kukosa mali kuliko kukosa akili mwalimu nyerere
migogoro mingi barani afrika.inasababishwa na viongozi wanaotawala kwa kungangania madaraka alfu wananchi wakiwakataa kwa kutumia nguvu ya umma mauwaji yakitokea viongozi wa afrika wanaanza kuwalamu wazungu kwa hoja dhaifu kuwa ndio wanao sababisha mapigano
mfano mdogo tu ni zanzibar na burundi
 
Kubenea kakosa vyote hivyo
 
Back
Top Bottom