SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,263
Meseji imeingia kwenye namba yangu ya airtel.Inaniambia: "ER 160205 0913 B03240,You have received Tshs1877.00 from AIRTEL MONEY GAWIO LA FAIDA.Dial*150*60# to enjoy the most affordable service from Airtel Money.
Baada ya hapo nikacheki salio langu la muda wa hewani: hakuna ongezeko la hiyo fedha. Nikacheki salio kwenye akaunti yangu ya airtel, huko pia sikuona ongezeko.
Sasa hilo gawio la faida linahifadhiwa wapi na ntalitumiaje?
Mnaofahamu naomba mnieleweshe, pengine baadhi yenu mna uzoefu wa hili.