pleo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 3,590
- 3,012
utaratibu wa kinyama kuokoa roho za watu wenye ubishi wa kinyama hauna shida.hajakataa watu wasihamishwe bali anachokataa ni utaratibu wa kinyama unaotumika kuwahamisha.
serikali hii inajifunza toka zilizopita, mfano mafuriko ya usiku wa leo kilosa yamesababishwa na tuta lililojengwa na jk badala ya kubomoa mabondeni au kujenga bwawa.
mkono legevu wa serikali hausaidii kitu.