Ni hatari kuji-expose kwenye mitandao!

Ni hatari kuji-expose kwenye mitandao!

Shomari

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
1,112
Reaction score
242
dada mmojawapo wa kitanzania , akiwa na bulungutu lake la vijisenti, huku ni kuwaalika majambazi waje kukubaka. hatari sana.

mangeee.jpg
 
Hizo ni pesa za kuazima kama Original
Komedi.

Mkia wa Mbuzi huo hausitiri Tupu.
 
Huyo demu ni malaya tu, hapo anatoa tafsiri kuwa ukimtaka ni lazima uwe na mkwanja mrefu.
 
Hamumchoki!! huyu mama mapromo....
 
Yaani mie hapa niko hoi
Nimesizikia zinalia mtaa wa 2, kama mabomu.

Sijui kama wamepona.
 
Malipo ya kuliwa kabaaaaang hayo
 
Utoto fulani hivi!amelamba loan yake kwa salary haamini kama ameshika kiasi kama hicho tena cha kwake!!baada mwz zitaisha maana ataagiza rav 4 short ile ndio mwisho wake hapo!ataishia laki 5 tu!labda apate mibabu,ifanye ile shughuli yao kabang atapata tena.....kama hvy!ndio maisha ma dada zetu mijini siku hizi
 
Back
Top Bottom