Ni hatari Jeshi la Polisi kuzagaa mtaani

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,211
Reaction score
99,960
Kuna Athari kubwa sana kwa Jeshi la Polisi kuzunguka na magari na silaha mtaani. Nimejaribu kuainisha sababu kadhaa chache;

Moja, lengo lao ni kuleta hofu kwa Wananchi lakini hali hii hujenga usugu na mazoea kuwaona kuwa si lolote si chochote. Mbinu hii ni mbaya sana.

Pili, huweza kuwajengea wananchi ujasiri wa kukabiliana nao, ni hatari sana maana kama kweli atakuepo mtu mwenye nia ovu, anaweza kuangalia the way wanavyojipambanua na mtu huyo akajenga namna ya kuwashambulia Askari. Kwa mfano, Jana nimekutana nao kigogo, wako kwenye gari kama sita! Ni rahisi sana kushambuliwa kama atakuepo mtu mwenye nia ovu.

Tatu, ili uweze kushambuliwa vizuri ni lazima umjue vizuri adui yako, yale magari yao ambayo wamejifunga mikanda ikitokea wamefanyiwa ambush watakumbuka saa ngapi kufungua seat belts na kushambulia?

Nne, askari wa Jana wengi hawana miili ya kazi, sijajua upande wa akili, lakini kwa miili ile kweli wananchi wakilianzisha hakuna atakayepona. Wajitahidi mazoezi.

Tano, ni wachache sana! Wananchi wa Kigogo peke yao wangeweza kuziba barabara na kuwaweka mtu kati tungepoteza Askari wetu kizembe sana.

Ushauri wangu, kama lengo ni kuwatisha wananchi basi tujue tumepanga mkakati wa hovyo saana maana unampa adui ABC kuhusu wewe.

Tujitafakari, umwagaji damu ni hatari kwetu sote. Tuipende nchi yetu
 
Kwa hiyo?
 
Maandamano Ya jeshi la polisi yanaendelea Leo siku Ya pili huku alieamulisha akiva bado yuko huko Marekani

Mimi nitoe tafadhali Kwa polisi mkitoka huko msije kutusumbua kutuomba omba bia kwenye Baar maana mmezoea Sana kuja Baar kutuomba omba bia mkimaliza maandamano mange kimambi awalipe kabisa posho ili tupumue Leo na kuombwa ombwa offa Ya bia maaana kwenye Baar mnakera Sana
 
Maandamano hata yasipofanyika yamefanikiwa sana, ujumbe umefika na wahusika wameingiwa kiwewe cha hali juu. Lakini pia jumuiya za kimataifa zimesikia ndio maana raia wake wanaendelea kupewa tahadhari.
 
Mm nitaanzia hapa mwenyewe na tishet langu naandamana hadi nyumba nyeupe,
 
Niko karibu na majamaa zangu ni askari wenye vyeo tuu wanasema ofis hazikaliki wanahofu kuwa wanasiasa wanaweza kuwa wametia mkono kuhus kesho hawajihamin na hawajui Kama watu wakikomaa kweli itakuwajee
 
Mmi Nipo Jiji Fulan Hapa,Naona Maandamano Ya Polisi Yanaleta Usumbufu Usio Wa Lazma Barabarani,Maana Cjaona Yeyote Aliyebeba Bango La Kumlaani Mange Kimambi! There For Maandamano Yao Ni Bubu,Hayana Maudhui Yeyote! Ni Kher Watupishe Sisi Raia Kwa Vile Sisi Tunaye Wa Kumlaani,Tunazo Jumbe Nyingi Tu Za Kuwasilisha..Unity 4RevEr.
 
Kuna Athari kubwa sana kwa Jeshi la Polisi kuzunguka na magari na silaha mtaani. Nimejaribu kuainisha sababu kadhaa chache;

Moja, lengo lao ni kuleta hofu kwa Wananchi lakini hali hii hujenga usugu na mazoea kuwaona kuwa si lolote si chochote. Mbinu hii ni mbaya sana.

Pili, huweza kuwajengea wananchi ujasiri wa kukabiliana nao, ni hatari sana maana kama kweli atakuepo mtu mwenye nia ovu, anaweza kuangalia the way wanavyojipambanua na mtu huyo akajenga namna ya kuwashambulia Askari. Kwa mfano, Jana nimekutana nao kigogo, wako kwenye gari kama sita! Ni rahisi sana kushambuliwa kama atakuepo mtu mwenye nia ovu.

Tatu, ili uweze kushambuliwa vizuri ni lazima umjue vizuri adui yako, yale magari yao ambayo wamejifunga mikanda ikitokea wamefanyiwa ambush watakumbuka saa ngapi kufungua seat belts na kushambulia?

Nne, askari wa Jana wengi hawana miili ya kazi, sijajua upande wa akili, lakini kwa miili ile kweli wananchi wakilianzisha hakuna atakayepona. Wajitahidi mazoezi.

Tano, ni wachache sana! Wananchi wa Kigogo peke yao wangeweza kuziba barabara na kuwaweka mtu kati tungepoteza Askari wetu kizembe sana.

Ushauri wangu, kama lengo ni kuwatisha wananchi basi tujue tumepanga mkakati wa hovyo saana maana unampa adui ABC kuhusu wewe.

Tujitafakari, umwagaji damu ni hatari kwetu sote. Tuipende nchi yetu
Kama hatutaki kumwaga damu tujiepushe kuwa vifagio vya mawakala wa ubepari na kukataa kuwa nyumbu
 
Mmi Nipo Jiji Fulan Hapa,Naona Maandamano Ya Polisi Yanaleta Usumbufu Usio Wa Lazma Barabarani,Maana Cjaona Yeyote Aliyebeba Bango La Kumlaani Mange Kimambi! There For Maandamano Yao Ni Bubu,Hayana Maudhui Yeyote! Ni Kher Watupishe Sisi Raia Kwa Vile Sisi Tunaye Wa Kumlaani,Tunazo Jumbe Nyingi Tu Za Kuwasilisha..Unity 4RevEr.
Nadhani una point mahali
 
Niko karibu na majamaa zangu ni askari wenye vyeo tuu wanasema ofis hazikaliki wanahofu kuwa wanasiasa wanaweza kuwa wametia mkono kuhus kesho hawajihamin na hawajui Kama watu wakikomaa kweli itakuwajee
Najua saaana kuwa ni waoga, kama kweli wanajiaminisha si wangekaa wasubiri kama kuna maandamano au lah? Sioni sababu ya kupoteza resources
 
Back
Top Bottom