Kaduguda
JF-Expert Member
- Aug 1, 2008
- 724
- 643
Katika kuangalia majina ya wadaiwa sugu wa Bodi ya mikopo ya Elimu ya juu nimekutana na hili jina hapa chini. Huyu mdau kasoma na kumaliza UDSM kati ya 2005/2006, sasa hebu tujadiliane kama kweli kuna mwanafunzi MTZ mwenye asili ya jina hili kweli?
Na kama ndio, je ni kweli alistahili kupata huo mkopo au ndio changa la macho. Kama sio MTZ alipataje mkopo? Na kama kesharudi kwao hii si imeshakula kwetu? Kuna hatari ya mtu kutumbuliwa hapa! Hasa Board of admission na UDSM kwa kumdahili kama mzawa wakati sio!