Ni halali kuthaminisha kitu haramu?

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,700
1,721
Imekuwa mazowea kusikia bangi yenye thamani ya shs...... imeteketezwa au meno ya tembo/faru yenye thamani ya shs...... yamekamatwa au mihadarati n.k.

Vitu hivi tumeamua visitumike kibiashara au namna yoyote sasa inapothaminishwa inaleta maana gani?
 
Back
Top Bottom