Ni halali CCM kufanyia vikao Ikulu?

vikao vimesaidia Kununua boeing787
 
Huyo ndio magu hashauriki kamwe
Tulitaka Rais mwenye maamuzi magumu kwa hiyo akisikiliza sana ushauri nchi itarudi kulekule. Acha atupange tupangike mbele ya safari utakuja kuniambia hii nchi itakavyokuwa tamu. Tumpeni muda tu vinginevyo tunamuvu accordingly to sustainable development goals. Just a matter of time
 
Kuna tetesi kuwa leo kuna kikao cha CCM ikulu haya Tanganyika bahati mbaya au makusudi, na kama ni hivyo ndio tuseme lumumba imeamia rasmi ikulu
Mkuu kiatu hakivaliwi mkonon!Rais yupo bize sana,kwa hiyo hakuna cha ajabu kama kuna kikao kikamfuata Mwenyekiti ofisini kwake
 
Jamani nimeona kwenye vyombo vya habari kuwa kuna kikao cha chama kinaendelea Ikulu. Sasa mimi najua wale wengine waliisha pigwa stop siasa mpaka 2020 na mikutano marufufu hata ile ya ndani ni shida tu kila siku wanafurushwa sasa iweje hawa wanafanya tena kwenye nyumba ya umma? je hawa wengine nao wakiomba kwenda kufanyia vikao vyao kumbi za Ikulu wataruhusiwa?
 
Sijui ambacho hamulelewi. Kamuulize Lowasa alipotaka kufanya kikao halmashauri ya Ubungu na mayor wake kilichompata
 
Jamani nimeona kwenye vyombo vya habari kuwa kuna kikao cha chama kinaendelea Ikulu. Sasa mimi najua wale wengine waliisha pigwa stop siasa mpaka 2020 na mikutano marufufu hata ile ya ndani ni shida tu kila siku wanafurushwa sasa iweje hawa wanafanya tena kwenye nyumba ya umma? je hawa wengine nao wakiomba kwenda kufanyia vikao vyao kumbi za Ikulu wataruhusiwa?
Mnafiki huyo asikupe shida.
 
Hukuona juzi kwenye sherehe za majeshi uchama ulipelekwa huko,Kwa ikulu sishangai mkuu

OvA
 
CCM ndio chama tawala Ikulu iko chini yao lazima tukubali hata huko duniani kote vinafanyika
 
Back
Top Bottom