Ndetirima
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 1,008
- 784
Hapa kuchangia sitaweza kwasababu mtoa mada amewatuhumu kina Wema na Diamond na mimi sipo kwa ajili ya kuwapandisha chati hao kina Wema na Diamond kwa kuwajadili wakati wanayofanya wao wengi tu wanayafanya tena wakiwa na wazazi wote na ndugu kibao ya kuwashauri. Cha ajabu kutoka kwao hakuna ila ni kwasababu wao wakifanya mambo yanaandikwa au kutangazwa na vyombo vya habari wakati watu wengi wanafanya mambo ya ajabu kuliko wao lakini ni kwasababu hayaandikwi au kutangazwa popote.