Ni haki kuwahukumu single mother mother kwa kutumia sample ya Wema Sepetu na Diamond?

Sidhani ni sawa kuhukumu future ya mtoto kwa kuangalia usingle mother. Kuna wanaofanya vituko kuliko vya kina wema na still ni malezi ya pande mbili

Mkuu kuna hata watoto wa wachungaji na masheikh wanafanya mambo ya ajabu kuliko unavyofikiria.

Hiki ni kizazi cha nyoka na kizazi kengeufu. Maadili yameporomoka, si muda wa kuwalaumu wazazi.

Kuna watu wamesoma seminary, lakini baada ya shule wamekuwa mfano mmbovu kuliko wale wa Saint Kayumba...
 
Kwa hio Nancy Suma, Brigita Miss Tz, Ray C, etv si watoto wa ndoa wale? Mbona wamekosa haya kiasi hiko?
Inategemea tu na akili ya mtoto mbona Barack Obama ni product ya single mother? Theory yako haina. Coefficient of corelation. Na variance iko juu sanaaaa!

hahahaaaaaa! tatizo katumia small sample size......
 
Kwa hio Nancy Suma, Brigita Miss Tz, Ray C, etv si watoto wa ndoa wale? Mbona wamekosa haya kiasi hiko?
Inategemea tu na akili ya mtoto mbona Barack Obama ni product ya single mother? Theory yako haina. Coefficient of corelation. Na variance iko juu sanaaaa!
Umepanic.......

Soma heading yangu upya then check and balance nilivyohitimisha thread utapata content ya nilichokusudia hapa huenda ni kuwacleare single mother kwamba tabia mbovu za watoto zao ni wehu tu wao wenyewe.

Unapochokonyowa mjadala lazima uanzie mbali kabla ya kufikia lengo ulilokusudia, ndio maana Jokate ni msomi asiyejitambuwa ametoka kwenye familia bora lakini kaenda kumpanulia papa Diamond na sasa Jokate na Wema wote ni wakata mauno wa Diamond jukwaani. Ni Shiidaa!!
 
Nakubaliana na hoja za King'asti, OLESAIDIMU, The Boss kwa asilimia kubwa sana. Naomba niongeze mchango kama ifuatavyo.

Katika maisha yetu ya kawaida baba huwa na jukumu la kulea hasa kifedha lakin kimaadili mama ndiye huwa na jukumu hili. Tuwe wakweli wengi wetu humu tumekuzwa ivi kati ya baba na mama ni mzazi yupi aliyekuwa ana play part kubwa katika kukulea kimaadili?? wazazi wa kiume wako lazy fair sana af wanakuwaga hawajali. Binafsi siwashangai sana manake kwa sisi tulioendaga sande skul tulifunzwa hivi "mtoto mwenye hekima ni fahari ya baba yake bali mpumbav ni mzigo wa mama yake"

kwahiyo mama hujitahd sana kumlea mtoto katika maadili ili sasa asije akawa mzigo wake hapo badae, na aibu ya mtoto haiendi kwa mzazi wa kiume hata siku moja.

one million dollar qn ivi kwan wazazi wao wa kiume walikuwa wapi kuwaachia wazazi wa kike haya majukumu?? huyo baba yake Wema na baba yake Diamond walikuwa wapi??

maisha hayako fea tu kwa mzazi wa kike ndicho nikionacho hapa.

Af Matola kama una refer case ya Wema na Diamond kwenye fiesta ya juzi jamani mbona hakuna baya lililofanyika pale?? sijui kwann huko Istagram watu wanawachamba akina wema as if wamekosea wakati mbona hata live shows za hao mastaa wa nje wapenzi wao hupanda kuwapa shavu kwa kucheza tena wema maskini alicheza yaani ata dk 3 hazikuisha wimbo ukaisha??

sijui mie nikoje ila sijaona kosa kwenye ile shoo nisamehe sana kwa kusema hili hapa.
 
Last edited by a moderator:
Ninachokubaliana na Matola ni kuwa hawa sampuli yake hawawezi kuwa baba na mama wazuri hata wakiamua kuoana. Sijaona wa kushuka na kumtuliza mwenzie. Watakuwa wanamuacha mtoto na house girl na wao kwenda kutanua.
 
kuna single mothers wengi nawafahamu tena wana watoto si chini ya mmoja, kila mtoto na baba yake, lakini wame manage malezi bora kuliko wanandoa. wamesomesha watoto wao vizuri na wamewajengea future zinazoeleweka. malezi ndio yanasababisha tabia nzuri au mbaya ya mtoto haihusiani na usingle wa mama.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nakubaliana na hoja za King'asti, OLESAIDIMU, The Boss kwa asilimia kubwa sana. Naomba niongeze mchango kama ifuatavyo.

Katika maisha yetu ya kawaida baba huwa na jukumu la kulea hasa kifedha lakin kimaadili mama ndiye huwa na jukumu hili. Tuwe wakweli wengi wetu humu tumekuzwa ivi kati ya baba na mama ni mzazi yupi aliyekuwa ana play part kubwa katika kukulea kimaadili?? wazazi wa kiume wako lazy fair sana af wanakuwaga hawajali. Binafsi siwashangai sana manake kwa sisi tulioendaga sande skul tulifunzwa hivi "mtoto mwenye hekima ni fahari ya baba yake bali mpumbav ni mzigo wa mama yake"

kwahiyo mama hujitahd sana kumlea mtoto katika maadili ili sasa asije akawa mzigo wake hapo badae, na aibu ya mtoto haiendi kwa mzazi wa kiume hata siku moja.

one million dollar qn ivi kwan wazazi wao wa kiume walikuwa wapi kuwaachia wazazi wa kike haya majukumu?? huyo baba yake Wema na baba yake Diamond walikuwa wapi??

maisha hayako fea tu kwa mzazi wa kike ndicho nikionacho hapa.

Af Matola kama una refer case ya Wema na Diamond kwenye fiesta ya juzi jamani mbona hakuna baya lililofanyika pale?? sijui kwann huko Istagram watu wanawachamba akina wema as if wamekosea wakati mbona hata live shows za hao mastaa wa nje wapenzi wao hupanda kuwapa shavu kwa kucheza tena wema maskini alicheza yaani ata dk 3 hazikuisha wimbo ukaisha??

sijui mie nikoje ila sijaona kosa kwenye ile shoo nisamehe sana kwa kusema hili hapa.
MSOME DIAMOND HAPA CHINI KWANZA ALICHOANDIKA KWENYE INSTA YAKE HALAFU DIGEST.

Nafkiri ningewaona kweli Mnaakili na Mapenzi ya
dhati kwa Msanii wenu... kama mngemshauri
apunguze Mashoga wapenda anasa na apunguze
Stareh zisizo na Faida, wenda ingemsaidia Pesa
kuzitumia kwenye kufanya kazi na kuleta
maendeleo badala ya kuwapa viwanda vya
pombe... Mimi kama bwana, wajibu wangu ni
kuhakikisha Mpenzi wangu anakula vizuri, anavaa
vizuri, analala vizuri, na kumuwezesha mtaji wa
kufanyia kazi.... Waswahili wanasema Mchungaji
bora anatakiwa kuhakikisha anampeleka Ng'ombe
wake Kwenye Maji safi....ila yeye ng'ombe
mwenyewe ndio anatakiwa aamue kunywa maji!!!!!
Au mnataka nikishampa mtaji niache kufanya na
show tena na kuigiza nimuigizie mie ???? Nisiende
Studio nikae dukani nimuuzie mie????.. ni juhudi
zako kwanza!... leo hii mimi Hata ningepewa
Mamilioni ya mamilioni kama nisingekuwa na
moyo wa mie mwenyewe kwanza kutaka kujituma
na kupenda kufanya kazi yangu nisingefikia hapa
nilipo!....Mxieeeeeeeew! Kama nimekuchefua
Lamba ndimu Usitapike
 
Last edited by a moderator:
always wazazi wa kike tuko victimized sana hasa kwenye malezi lakin am sure kuna wazazi wa kiume ambao ni worse kuliko hao wa kike and to me bora hata huyu wa kike alijaribu kuliko wa kiume alokataa kabisa majukumu.

jambo la msingi hapa ni kwamba kila mzazi awe responsible kwenye malez ya watoto, ingawa prestige ikija huja chini ya kichwa cha mwanaume lakin bi afadhal kila mtu ashiriki.

leo hii huwa naangalia jins mama yangu alivyo hassle na mimi lkn all presige goes to my dad as kila niitwapo jina lake latamkwa iwe ni kwa mema ama kwa mabaya.

sasa kituko ni kwamba pale mtoto anapo mess hata baba utamsikia akisema wewe mama fulan hebu ongea na mwanao af mama anaishia kukuchapa kwa hasira manake anajua huo ni msala wake, lkn siku ukija na ripot ya shule nzuri umepatemo na kazawadi utamskia baba hata baa atajisifia.

nakumbuka siku matokeo ya form 6 yalipotokaga kwamba nimefaulu naweza kujoin chuo baba yangu alinunu gazeti akakaa nalo baa akiwaonyesha wenzie kwamba mwane amefaulu, na hapo hakuwenda hata na mama imagine lkn mie naju amama ndo alohassle zaid kuliko baba lkn all prestige kachukua yeye...

mie sijui kwann hii mentality haibadiliki miongoni mwa watu hadi leo hii.
 
MSOME DIAMOND HAPA CHINI KWANZA ALICHOANDIKA KWENYE INSTA YAKE HALAFU DIGEST.

Nafkiri ningewaona kweli Mnaakili na Mapenzi ya
dhati kwa Msanii wenu... kama mngemshauri
apunguze Mashoga wapenda anasa na apunguze
Stareh zisizo na Faida, wenda ingemsaidia Pesa
kuzitumia kwenye kufanya kazi na kuleta
maendeleo badala ya kuwapa viwanda vya
pombe... Mimi kama bwana, wajibu wangu ni
kuhakikisha Mpenzi wangu anakula vizuri, anavaa
vizuri, analala vizuri, na kumuwezesha mtaji wa
kufanyia kazi.... Waswahili wanasema Mchungaji
bora anatakiwa kuhakikisha anampeleka Ng'ombe
wake Kwenye Maji safi....ila yeye ng'ombe
mwenyewe ndio anatakiwa aamue kunywa maji!!!!!
Au mnataka nikishampa mtaji niache kufanya na
show tena na kuigiza nimuigizie mie ???? Nisiende
Studio nikae dukani nimuuzie mie????.. ni juhudi
zako kwanza!... leo hii mimi Hata ningepewa
Mamilioni ya mamilioni kama nisingekuwa na
moyo wa mie mwenyewe kwanza kutaka kujituma
na kupenda kufanya kazi yangu nisingefikia hapa
nilipo!....Mxieeeeeeeew! Kama nimekuchefua
Lamba ndimu Usitapike

Yana ubaya gani haya maneno?
 
Matola mie hapa sio kosa la malezi ila ni kosa la akili jambo ambalo ni factor ya vitu vingi sana ikiwemo elimu, exposure, zeel, etc.

Wema angekuwa binti wa kirombo leo hii ungekuta anamiliki benki yake kama sio shopping mall, like wise diamond angekuwa mkaka wa kikinga ungekuta anamiliki kkoo yote so to me hili silishangai. niliona kwenyen ista wema kasema hana mpango wa kuzaa to me huo ni ujinga lkn angekuwa kama mie japo sina ela leba nimeenda mara 4 ningekuwa nazo kama yeye ningeenda mara 10 kama sio 15 nafkiri.

apa ishu sio malezi ya mama apa ishu ni mtambuka sana
 
Last edited by a moderator:
Yana ubaya gani haya maneno?

kumbe na wewe na Mr wako huwa mnashauriana maisha kupitia Instagram? hngera sana kama hulioni tatizo basi wewe ni zaidi ya tatizo.

BTW mada yangu haikubase kujadili huo ujinga mmoja tu
 
Back
Top Bottom