Ni haki kupenda!?

Hahhahah...panasonic yenyewe ya mchina!ahusiano yana mambo jamani...
 

mmmh!MJ1,
Kumbe kutukana ruksa mara moja moja eeh?
 
Hahhahah...panasonic yenyewe ya mchina!ahusiano yana mambo jamani...

Lizzy yaani baada ya muda wote huo kupita,
ndo wajua leo kuwa panasonic ni ya mchina lol....!!!!!
 
Tunarudi kulekule kuolewa au kuoa sababu tu ya huruma, au eti wife material haya unakuwa na materials mashine ya uzalishaji huna sijui unafanyaje na unfinished goods zako
 
Hivi mpaka unafanya maamuzi ya kuoa kuolewa ulikuwa unawaza nini?
kwani ulilazimishwa ..sio haki kuwa na mpenzi nje ya ndoa maji ukiyavulia nguo sharti uyaoge
Kama umeamua kuingia kwenye ndoa inabidi ufate sheria za ndoa mme mmoja /mke mmoja
Kama wewe Mwisilam kwa mwanaume oa kwa mwanamke kuwa mvumilivu ama omba talaka na umweleze mwenzio kuwa uliolewa nae pasipo kumpenda .
Sasa hapa sijui ndo utaanza kutafuta mpenzi unayempenda ...!!?:mod:
 
Labda yale mambo ya kizamani katafutiwa akaona asiwaangushe wazazi, au waonaje FL
 
Naogopa kuchangia mwenzenu!:biggrin1:
 
Labda yale mambo ya kizamani katafutiwa akaona asiwaangushe wazazi, au waonaje FL

:biggrin1:Gaga huu mtihani maana unaweza kuwa na uhusiano nje mara mhusika nae anatangaza ndoa au anahamia mbali na kuanza maisha mengine
sijui utatafuta mwingine tena , La ndoa ivunjwe swirry cause mambo ya cheating yanaumiza sana pale mmoja atakapogunda anaibiwa ,ndo maana watu wanachomana visu ,wanapigana shaba kama Afisa Mipango pale Dom haya yote ni mapenzi ya wizi..
 

duu ilikuwaje mpaka wakaoana kama hapendi kila kitu chake
 
Oh, no!.. Blaki Womani, uko tayari kuwaabandon ya kids because of 'love'??.. tell me ur kidding!..

Avatar
siwezi kuwaabandon watoto wangu kwa mtu ambaye hakuwai kuwa na mapendo kwangu
wengine wanaona watashindwa kulea watoto pindi wanapotalikiana hakuna kitu ni kujiamini
na kuwa na mikakati na mipangilio ya maisha. watoto wangu wataambatana nami popote nitakapo kwenda


 
Hivi hebu tufikirie na upande wa pili...............wewe umeolewa/umeoa mtu ambaye unampeeeenda sana lakini yeye hakupendi na unalijua kabisa kuwa hakupendi labda kakubali kukuoa/olewa kwa kuwa kulikuwa na shinikizo flani. ......... hakuabuse wala kukukaraisha ila tu hana raha na wewe. Utafanya nini?
 
Aisee hapo dalili za mtu kuwa na mpango wa kando ni kubwa sana
 
 
FL1 kuna mada nikiziangalia huwa zinanipa wakati mgumu sana kusema lolote, mioyo yetu huwa inabeba siri nzito sana na wakati mwingine huwa ni ngumu hata kuzisema what if kama unampenda sana,halafu yeye anapenda kwingine utajuaje?mambo mengine ni kuyaacha yalivo as far as ananiheshimu na kutimiza wajibu wake naamini napendwa hata kama sivo ndivo.


Changia tu mama toka moyoni mwako
 
Probably, the question here could be if una haki ya kuachana na mtu uliyemwoa/uliyeolewa naye.

Majibu ya swali hili yangekupa majibu ya swali lako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…