Naomben msaada kwa yeyote mwenye kujua ni format gan inayoweza kuonyesha video clear kwenye radio ya gari,maana system yangu in support mp4 ya 320×160 pekee,na format zingine ni wma,mov,avi,mpg
una uhakika gani inahitaji video za aina hio? format hazina maana sana hapo cha muhimu unatakiwa kujua screen resolution yako ili upate video nzuri zenye resolution sawa