Ni external hardisk kama unajua walipo mafundi

Ni external hardisk kama unajua walipo mafundi

The Only Kilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2010
Posts
352
Reaction score
87
Nimeharibikiwa na external hard disk aina ya seagate! Naomba kama unajua walipo mafundi unijulishe mara hii tafadhali. Mimi nipo dar.
 
Eleza chanzo cha tatizo, ni vyema ukapeleka kwenye jukwaa la gadgets
 
Pole sana kuna fundi moja mzuri sana kwenye gadgets mcheck yupo safi anapiga kazi 24/7 mcheck kwa 0766507080 atakupiga taugh shida yako.
 
Nenda Amani Place Kuna mafundi wa data recovery clouds walikuwa wanawatangaza sana last year
 
Jamani me pia min-laptop yangu SONY imekufa mazabody nimehangaika sana mafundi wameshndwa n wamenambia no way ishakufa msaada pls. Niliangusha
 
Jamani me pia min-laptop yangu SONY imekufa mazabody nimehangaika sana mafundi wameshndwa n wamenambia no way ishakufa msaada pls. Niliangusha

jichange ununue nyingne tu!
 
Wakuu shukrani sana ndo maana halisi ya jamii forum hiii! Live long jf especially mmu
 
Jamani me pia min-laptop yangu SONY imekufa mazabody nimehangaika sana mafundi wameshndwa n wamenambia no way ishakufa msaada pls. Niliangusha

wapelekee orange tech pale posta, wanaweza kukusaidia
 
Back
Top Bottom