Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Watu wa tume ya mawasiliano kesho baada ya mikutano hii mtuletee mrejesho hapa ni Telivisheni gani imeangaliwa na watu wengi zaidi.
Nasi kama wananchi tutatafakari kwa kina.
Ni kesho pale ACT na Zitto watakapokuwa Mwembe Yanga live kupitia Channel Ten na Dr Slaa atakuwa Live ITV kutoka Ubungo Plaza akiteta na wazee wa Dar es salaam.