Ni dawa gani zinazoweza kumfanya mwanamke kubeba mimba ya mapacha??

tusimsahihishe Mungu tutapata kizazi cha ajabu sana tuwe makini kwa kila tunachokifanya
 
binafsi nimeshuhudia wadada wawili wame2mia vidonge na wamezaa mapacha ila sikufanikiwa kuwauliza dawa zinaitwaje cz sina mpango wa mtoto kwa sasa.
Kuhusu madhara sijui maana watoto hawana zaidi ya miaka mi3 but they are healthier so sijui tena.
 
Hizo dawa haziaminiki sana. MIMI nashauri atumie IVF (in vitro fertilization) hii ni njiaya uhakika, na anaweza kupangiwa humo ndani hata watoto wawili, wanne , sita uchaguzi wake tu , maradi awe na mkwanja mrefu.

Upo serious??mkwanja mrefu kuanzia sh ngapi?? nataka nifanye mpango wa kukutana na dr anifanyie hiyo kitu
 
e bwna hako kamchezo n hatar m anko wangu alienda south kutengeneza mimba ya mapacha kwl alifankiwa lakin sa hiv mkid m1 kila cku n pancha keshapigw opereshen ka 4 za kumrekebsha so mshaur jamaa acjarib ts very dangerous game co utan
 
Uwe na kitu kama Tshs 6m. Na hii ni kwa gharama zote hadi kitu kinatulia tumboni. uchunguzi, kupandikiza etc

Mbona bei rahisi sana ...watoto wawili kwa tshs 6m means ni kama tsh 3m kwa 1 kid... clinics za marekani ni kama usd 12,000 -20,000. au huyo dr ni wa ki-china?
 
e bwna hako kamchezo n hatar m anko wangu alienda south kutengeneza mimba ya mapacha kwl alifankiwa lakin sa hiv mkid m1 kila cku n pancha keshapigw opereshen ka 4 za kumrekebsha so mshaur jamaa acjarib ts very dangerous game co utan


hapo nilipo-bold sipaungi mkono...wapo watu hata hawakuzaliwa kwa njia hizo na ni pancha mwanzo mwisho operations zaidi ya 100 na bado spana mkononi...huyo kid ana matatizo ya kawaida na hayatokani na jinsi alivyotungwa mimba wala kuzaliwa.
 
Huonekani kule kumbe unapatikana huku ushakuwa TABIBU nini mkuu?
njoo side ile best tumekumiso sana
....Ni swai zuri sana hilo maana haya madawa yanaweza kabisa kuwa na side effects mbaya sana kwa mama au kwa mtoto/watoto watakaozaliwa.
 
Back
Top Bottom