Ni dakika 5 za Lowassa

Afya inatoka kwa Allah pekee kama hayo mabaya uliyoyasema hapo juu yametoka moyoni basi hakika na wewe utalipwa hapahapa duniani siku zi mbali sana

Ukweli siku zote unakuwa ni ubaya kwa wasioutaka - kumbuka hilo.
 


uchambuzi wako mkuu umekwenda shule
 
Lowassa kutokemea ufisadi, rushwa na uhalifu, hayo ni magonjwa makubwa ambayo tayari anayo.
 
Teh teh mipoooooooooooooooov inakutoka na bado.........wazee wa kujenga reli kwa kiwango cha lami kazi mnayo...wazee wa msituadhibu lazima muombe poo............... makunguni mtajibeba...............

Ccm hoiiiiiiiiiii
 

Habari muruuuuwaaaaaaaa
 
Lowasa hawezi kutudanganya tena tushastuka siye kitambo aende zake wala hatudanganyiki kabisa mwizi tu huyu.

Aende zake wapi tena wakati ashawaachia CCM yenu!? Tangu lini umekuwa UKAWA ama CHADEMA? Umeiona tuti ya Singinda!?
 

Hawa friends of Lowasa wamelipwa kufanya counter attack!
Naona ktk kila thread wanatokea fasta kudiscourage wanaoleta topic zinazoleta mjadala juu ya udhaifu wa mgombea wao!

Ni ile hali aliyosema mkapa, juu ya mashabiki Hawa wa Lowasa!
 
LOWASA tegemeo LA WENGI walioongea MASAA 3 mbona hawajabadilisha chochote......hali ibazidi kuwa mbaya
 
Inaumiza unapotia ushawishi mwingi kuwashawishi watu wawe upande wako lakini wao wanakuwa waelewa zaidi yako/ wanabaki katika msimamo wao tu
 
Alimchelemaa......×2! Siku hiyo atakuwa chaliii! Mthee wa mamvi akiwa anaingia ikuluu. Binadamu kwa nini mnashadadia magonjwa?? Kunamtu anayependa kuugua?? Acheni hizo!
 
Hawa friends of Lowasa wamelipwa kufanya counter attack!
Naona ktk kila thread wanatokea fasta kudiscourage wanaoleta topic zinazoleta mjadala juu ya udhaifu wa mgombea wao!

Ni ile hali aliyosema mkapa, juu ya mashabiki Hawa wa Lowasa!

Sawa yote mnayosema,mgonjwa,mzima,hawezi lakini sisi tutamchagua Lowassa huyo huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…